Skip to main content
Skip to main content

Je, Bobi Wine atatoboa katika azma yake ya kuwa rais nchini Uganda? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    16,829 views
    Duration: 28:10
    Mwanasiasa kinara wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine ameteuliwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwakani. Hapo jana, Rais Yoweri Museveni alikuwa mgombea wa kwanza kuidhinishwa na tume ya uchaguzi kuwania tena kiti cha urais. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw