Je kuna pombe zenye faida?

  • | BBC Swahili
    538 views
    Mvinyo, bia na vinywaji vikali vina aina ya pombe inayoitwa ethanol. Kunywa zaidi ya ulaji wa kila siku unaopendekezwa kuna uwezekano wa kuongeza hatari ya magonjwa zaidi ya 50 ikiwemo magonjwa wa moyo na kiharusi. Kunywa mara kwa mara kunaweza pia kuongeza viwango vya wasiwasi na uzito. Lakini baadhi ya vinywaji vya pombe vinapotumiwa kwa kiasi - glasi moja kwa wanawake na mbili kwa wanaume kwa siku - inaweza kuwa na faida fulani kiafya. #bbcswahili #afya #tafiti Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw