Je, Marekani na Urusi watakubaliana kusitisha vita Ukraine?

  • | BBC Swahili
    2,181 views
    Maafisa wa Marekani na Urusi wanakutana nchini Saudi Arabia huku Rais Donald Trump wa Marekani akiendelea kushinikiza kumalizika kwa haraka kwa vita nchini Ukraine. Marekani inataka kumalizika kwa vita katika Bahari Nyeusi, ikiendeleza hatua ya wiki iliyopita wakati ambapo Rais Vladymr Putin wa Urusi alisema ataamuru kusitishwa kwa mashambulizi dhidi ya miundombinu ya nishati kwa siku 30.