Je, ni mara ngapi unapaswa kubadilisha shuka na kuzifua?

  • | BBC Swahili
    3,010 views
    Takriban nusu ya wanaume ambao hawajaoa walisema hawafui shuka zao hadi miezi minne hivi kwa wakati mmoja, huku 12% wakikiri kuwa wanazifua wanapokumbuka ambapo inaweza kuchukua muda mrefu zaidi. Je unajua kwanini unapaswa kufua shuka zako kila baadawiki moja? @martha_sar@martha_saranga - #bbcswahili #afya #usafi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw