Ujenzi ya bwawa la Mwache, Kwale umekamilika kwa asilimia 28, wakulima wameanza kufaidika

  • | TV 47
    8 views

    Ujenzi umekamilika kwa asilimia 28.

    Unatarajiwa kukamilika Februari 2027.

    Serikali ilishughulikia fidia ya ardhi.

    Ujenzi wa bwawa unafadhiliwa na Benki ya Dunia.

    Mradi huu tasaidia kupunguza uhaba wa maji Mombasa.

    Wakulima wa eneo hilo tayari wameanza kufaidika.

    Bwawa litasaidia kuzuia mafuriko na ukame eneo la Kwale.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __