Je ni nchi ngapi ambazo bado hazijapata kiongozi mwanamke?

  • | BBC Swahili
    2,061 views
    Machi 8 ni Siku ya Kimataifa ya Wanawake duniani. Licha ya maendeleo ya hivi karibuni, bado kuna nchi nyingi ambazo hazijawahi kupata mwanamke kama kiongozi wa nchi ikiwemo Marekani na nyingine. Hawa ni baadhi ya wanawake kote ulimwenguni ambao wamefikia nafasi za juu za uongozi wa nchi. Je kiongozi gani mwanamke anakukosha katika eneo lako? #bbcswahili #sikuyawanawake #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw