Je pilau la Tanzania na Kenya lipi tamu?

  • | BBC Swahili
    1,909 views
    Pilau ni chakula maarufu Afrika Mashariki, na kila mpishi ana aina yake ya upishi. Je ni kitu kinachofanya pilau liwe zuri na la tofauti? - 🎥: @bosha_nyanje - - - #tanzania #kenya #pilau Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw