Rais Ruto: Kama mnataka kushindana na mimi 2027 mtafute sera, wacheni makelele ya bure.

  • | KBC Video
    503 views

    Rais Ruto: Nataka niwaambie hawa watu wanaosumbuka na mimi, kama mnataka kushindana na mimi mutafute sera. Bure mtazunguka na mambo yenu itazama. Wacheni makelele ya bure, hawa wananchi si wajinga, watajua ni nani wa kufanya kazi na ni nani wa porojo, fitina na ukora. #KBCniYetu

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive