- 7,355 viewsDuration: 12:16Rais wa Marekani Donald Trump amesema atasukuma mpango mpya wa amani ili kumaliza vita vya Israel na Gaza wakati wa mazungumzo ya White House na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Trump amezungumza kuhusu matarajio ya kufikia makubaliano, akiwaambia waandishi wa habari... "Nadhani tuna makubaliano". #dirayaduniatv