Je, Ukraine itamudu vita bila Marekani?

  • | BBC Swahili
    295 views
    Rais Donald Trump amesitisha misaada yote ya kijeshi ya Marekani kwa Kyiv, siku chache baada ya majibizano makali na Rais wa Ukraine Volodomyr Zelensky katika Ofisi ya Rais wa Marekani. Ikulu ya White House imesema kwamba inasimamisha kwa muda msaada wakati ikifanya tathmini ya kina kuhusu shehena za silaha, hadi pale Rais Zelensky ataonyesha kwamba yuko tayari kwa mazungumzo ya amani.