3,862 views
Duration: 2:03
Lugha ya alama si njia tu ya mawasiliano tu, ni utambulisho wetu. Ni sauti yetu. Tunataka kutambulika, kueleweka, kushirikishwa na kukubalika.
Ni lugha inayotumia mikono, sura na lugha ya mwili kuwasiliana.
BBC, tunajifunza lugha ya alama kila Jumatano na Ijumaa. Kwa sababu tunaamini... mawasiliano ni haki
Mwandishi wa BBC @damaris_kamande anasimulia;
-
-
@eagansalla_gifted_sounds
#bbcswahili #walemavu #hakiyabinadamu #lughayaalama
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw