9,454 views
Duration: 1:58
Jinsi maandamano ya Gen Z yalivyo pindua serikali ya Nepal.
Kuna wanaosema kufungiwa kwa mitandao ya kijamii ndiyo kumesababisha mandamano hayo.
Lakini wanazuoni wabobezi wa masuala ya Nepal wanasema kufungwa kwa mitandao ya kijamii, kumekuwa ni cheche tu iliyolipua bomu lililokuwa likitokota kwa muda mrefu
Bomu lenyewe ni mchanganyiko wa matumizi mabaya ya serikali na vibaraka wake, rushwa, Uchumi kudorora na ukosefu mkubwa wa ajira miongoni mwa vijana
Mwandishi wa BBC @florian.kaijage.3591 anatueleza
-
-
Tazama video hii kwa urefu zaidi katika YouTube yetu ya bbcswahili
#bbcswahili #nepal #maandamano #genz #vijana #mitandaoyakijamii