Jinsi ungonjwa wa kalazar hayatiliwi maanani humu nchini

  • | Citizen TV
    271 views

    Ungonjwa wa kalazar ni mojawapo wa magonjwa ambayo hayatiliwi maanani sana nchini. Ugonjwa huo ni mojawapo ya magonjwa yanayoumiza sana watoto. Kalazar inapatikana katika majimbo kadha nchini kama vile Kitui, marsabit Baringo, Garissa, Thataka Nithi, Turkana, West Pokot na wajir. Kulingana na shirika la afya duniani WHO, asilimia 50 ya waathiriwa ni watoto walio na umri wa chini ya miaka 15. Katika Jimbo la Kitui kalazar hupatikana katika wodi za kyuso na ngomeni.