Jomireso Voices: Kwaya iliyozua gumzo kwa mavazi

  • | BBC Swahili
    5,388 views
    Jomireso Voices Tz @jomiresotz ni kikundi cha muziki wa Injili kutoka Tanzania, ambapo Kupitia video ya wimbo wao wa Tuonyeshe Yesu, ulizua mjadala baada ya kuonekana wamevaa Hijab. #bbcswahili tanzania #injiliyakristo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw