Jopo La kubuni upya IEBC lakamilisha mahojiano ya mwenyekiti

  • | KBC Video
    95 views

    Mwaniaji wadhifa wa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC Robert Akumu Asembo, alikuwa na kibarua kigumu kuhusu hati ya kukamatwa kwake katika kesi ya ulaghai. Akumu ambaye ni afisa wa zamani wa shirikisho la soka nchini FKF, alipatikana na hatia mnamo Januari mwaka huu,kwa kukiuka kifungu cha 313 cha kanuni za adhabu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive