Jopo la kushughulikia rufaa kuhusu malipo ya uzeeni laagiza wadhamini kuwalipa waliostaafu

  • | KBC Video
    336 views

    Jopo la kushughulikia rufaa kuhusu malipo ya uzeeni limewaagiza wadhamini wa mpango wa malipo ya uzeeni wa halmashauri ya bandari nchini kuwapa wale waliostaafu malipo yao katika muda wa siku 30. Na jinsi mwanahabari wetu Ruth Wamboi anavyotuarifu uamuzi wa mwenyekiti wa jopo kazi hilo Charles Ongoto ulijiri huku wale waliostaafu wakiliarifu jopo hilo kwamba haki zao zimekiukwa na mpango huo tangu uamuzi ulipotolewa tarehe 25 mwezi Januari mwaka huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive