Jopo la uteuzi la IEBC lasema shughuli ya uteuzi itakamilika ifikapo Mei

  • | KBC Video
    716 views

    Jopo la uteuzi la tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC, limelihakikishia taifa kwamba kutakuwepo na tume mpya ya uchaguzi kufikia mwisho wa mwezi Aprili mwaka huu, na kuondoa hofu ya kutokea kwa mgogoro wa kikatiba. Jopo hilo kupitia mwenyekiti Nelson Makanda, limesema zaidi ya watu 300 wametuma maombi ya kazi kufikia sasa, kabla ya muda wa kufanya hivyo kukamilika tarehe 15 mwezi huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive