Jumba la ghorofa 10 lililozama kubomolewa Mombasa

  • | Citizen TV
    4,463 views

    Jumba la ghorofa 10 lililozama wiki jana mjini Mombasa limepangiwa kubomolewa hapo kesho. Gavana wa Mombasa Abdulswamad Sharif Nassir ametoa taratibu za ubomozi huo utakaochukua muda wa saa nane na mabao utatekelezwa na wanajeshi. Wakazi wanaoishi karibu na eneo hilo wametakiwa kuhama huku shughuli za hospitali ya Coast General na uchukuzi kwenye kivuko cha Nyali zikiathirika