Junior Starlets, Harambee Starlets wajiandaa kuchuana na Tunisia Ijumaa ugani Ulinzi Sports Complex

  • | TV 47
    10 views

    Junior Starlets na Harambee Starlets wajiandaa.

    Harambee starlets wajiandaa kuchuana na Tunisia siku ya Ijumaa.

    Ni mechi ya kufuzu WAFCON 2026.

    Mechi hiyo kuchezwa siku ya Ijumaa ugani Ulinzi Sports Complex, Nairobi.

    Junior Starlets wanajiandalia michuano ya kufuzu Dimba la Dunia.

    Junior Starlets kuchuana na Uganda kwenye mechi ya kufuzu Dimba la Dunia.

    Katibu wa Michezo Peter Tum atembelea Juniors na Harambee Starlets.

    Katibu wa Michezo Peter Tum kuwapa Harambee starlets 500,000 kabla ya mechi hiyo.

    #TV47Matukio @Kilemi_Andrine

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __