Justin Muturi aachishwa kazi

  • | KBC Video
    1,610 views

    Rais William Ruto amemtema Justin Muturi kutoka baraza la mawaziri kufuatia kipindi cha miezi ya jazba baina ya wawili hao. Kupigwa kalamu kwa Muturi kunajiri saa chache baada ya Rais Ruto kumsuta kutokana na kudhihiri mapungufu ya kikazi wakati wa kipindi chake akiwa katika afisi ya mwanasheria mkuu. Katika mabadiliko yaliyotangazwa na Rais mnamo Jumatano, mbunge wa Mbeere Kaskazini Geoffrey Ruku amechukua nafasi ya Muturi katika waziri wa utumishi wa umma na masuala ya wafanyakazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive