Kaimu inspekta Jenerali wa polisi Gilbert Masengeli ahukumiwa kifungo cha miezi sita gerezani.

  • | K24 Video
    72 views

    Kaimu inspekta Jenerali wa polisi Gilbert Masengeli amehukumiwa kifungo cha miezi sita gerezani. Akitoa hukumu hiyo jaji lawrence mugambi wa mahakama ya milimani amesema masengeli amehukumiwa kwa kosa la kukaidi amri ya mahakama baada ya kutakiwa kufika mahakamani kuelezea hatma ya watu watatu wakiwemo kaka wawili waliotoweka eneo la Kitengela baada ya kutekwa nyara na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa polisi.