Kalonzo ataka inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja kuwajibika kuhusu visa vya utekaji nyara

  • | Citizen TV
    1,047 views

    Kinara Wa Chama Cha Wiper Kalonzo Musyoka Amemtaka Inspekta Jenerali Wa Polisi Douglas Kanja Kuwajibika Kuhusu Visa Vya Utekaji Nyara Akisema Hali Inayoendelea Kushuhudiwa Inazua Hofu Nchini. Kalonzo Alikuwa Anazungumza Huko Luanda, Katika Mazishi Ya Babake Spika Wa Zamani Kenneth Marende.