Skip to main content
Skip to main content

Kalonzo , Gachagua na Wamalwa wanasimama pamoja kupinga ubinafsishaji wa mali ya umma

  • | KTN News
    848 views
    Duration: 2:20
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Muungano wa upinzani umesisitiza wazi kuwa utambandua Rais William Ruto mamlaakani kwenye uchaguzi mkuu wa 2027. Viongozi wakuu wa muungano huu wakiwemo Kalonzo Musyoka (Wiper), Rigathi Gachagua (aliyekuwa Naibu Rais) na Eugene Wamalwa, wamelaumu Serikali kwa unyakuzi wa mali ya umma. Walisema mfano wa kielelezo ni kampuni ya mafuta ya Kenya Pipeline, na walisema watapiga hatua kisheria kupinga ubinafsishaji wa mali ya umma. Aidha, walitahadharisha wawekezaji wanaonufaika na mali ya serikali iliyouzwa kinyume cha sheria kuwa watarudisha mali hiyo, kwani ni haki ya wananchi. Waliweka wazi kwamba Rais Ruto lazima asalie na heshimu rasilimali za taifa na asalisaliti taifa letu. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews