Skip to main content
Skip to main content

Kalonzo Musyoka apata hadhi mpya kisiasa

  • | KTN News
    10,443 views
    Duration: 4:11
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Kutoka kuitwa kigeugeu na kubandikwa jina la tikitiki maji, kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka sasa amejipata akiwa miongoni mwa viongozi wanaosifiwa na kung’ang’aniwa katika siasa za Kenya. Kadri uchaguzi wa 2027 unavyokaribia, serikali na upinzani ulioungana wote wanamkodolea macho, ishara kwamba mwanasiasa aliyewahi kubezwa kwa mara nyingi na kubaki mgombea mwenza, sasa ndiye karata kuu inayomezewa mate na kila upande wa kisiasa. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews