Kamanda wa Kenya nchini Haiti asema "hatufeli"

  • | VOA Swahili
    3,934 views
    Msemaji wa kikosi cha Kimataifa cha Usalama Jenerali Godfrey Otunge atoa ujumbe kwa watu wa Haiti akisisitiza kuwa, kikosi chake hakitashindwa. Anasisitiza kuwa watafanya chochote kinacho walazimu kuhakikisha usalama wa watu wa Haiti. Endelea kusikiliza... #jenerali #godfreyotunge #haiti #kenya #usalama