Kamati kuu ya Shirikisho la Ndondi nchini yachaguliwa bila kupingwa

  • | Citizen TV
    96 views

    Wajumbe wa kamati kuu ya shirikisho la ndondi nchini kenya wamechaguliwa tena bila ya kupingwa kwa muhula mwingine wa miaka minne madarakani. Uchaguzi huo uliochukua muda mfupi sana ulisimamiwa na Ssajili wa Michezo Rose Wasike na maafisa kutoka Wizara ya Michezo.