Kamati ya usalama eneo la Garissa yakutana na viongozi wa kidini kutafuta mbinu za kukomesha ugaidi

  • | Citizen TV
    337 views

    Ukosefu wa usalama unaonekana kukithiri katika baadhi ya maeneo ya kaunti ya Garissa huku kamati ya usalama eneo hilo ikikutana na viongozi wa kidini kutafuta mbinu za kukomesha ugaidi.