- 1,336 viewsDuration: 1:26Kampeni za Uchaguzi wa eneobunge la Malava kaunti ya Kakamega zimeshika kasi. Wajumbe wa Kenya kwanza wakiongozwa na msaidizi wa rais Farouk Kibet walikita kambi eneo la Manda Shivanga kumpigia debe mgombea wa ubunge wa Malava kwa tikiti ya UDA David Ndakwa.