- 48 viewsUfungaji wa bidhaa ni unachangia kwa kiasi kikubwa tatizo la uchafuzi wa mazingira duniani, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa zaidi ya theluthi moja ya plastiki zote zinazozalishwa zinatumika kwa ajili ya kufunga bidhaa. Ili kukabili changamoto hiyo, kampuni moja nchini Kenya inatengeneza mifuko mbadala, kutokana na taka za kilimo zisizo na kemikali zenye sumu. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Kampuni moja Kenya yatengeneza mifuko mbadara ya kufungia vyakula
- - Duniani Leo ››
- 29 Nov 2024 - Mexican President Claudia Sheinbaum said on Wednesday Mexico would retaliate if U.S. President-elect Donald Trump followed through with his proposed 25% across-the-board tariff, a move her government warned could kill 400,000 U.S. jobs and drive up…
- 29 Nov 2024 - Australia approved on Thursday a social media ban for children aged under 16 after an emotive debate that has gripped the nation, setting a benchmark for jurisdictions around the world with one of the toughest regulations targeting Big Tech.
- 29 Nov 2024 - Kampala socialite Don Nasser alleged unlawful kidnap in Kenya, leading to his detention
- 29 Nov 2024 - Puzzling death of lecturer who left home for a leisurely walk only to be found dead.
- 29 Nov 2024 - The payroll manager inflated his salary up to three times and paid his spouse who worked in a different devolved unit.
- 29 Nov 2024 - PS Harry Kimtai has a difficult time justifying the training of 50 doctors for almost half a billion shillings
- 29 Nov 2024 - IEBC boss warns of constitutional crisis over boundaries review deadline
- 29 Nov 2024 - ODM dismisses reports of coercion to vote by consensus
- 29 Nov 2024 - Private entities allowed to recover proceeds of graft
- 29 Nov 2024 - Kenya's high octane politics three years to next general elections