Kampuni ya L’oreal imezindua mafuta mapya ya uso

  • | Citizen TV
    412 views

    Kampuni ya L’oreal , inayotengezema mafuta ya utunzaji wa ngozi ya uso ya Garnier nchini Kenya , imezindua mafuta mapya ya Garnier Super UV SPF 50 jijini Nairobi, ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka . Ubunifu huu ni jibu la kujikinga dhidi ya miale ya jua ya UV, madoa meusi, na uzee wa mapema. Kulingana na Garnier, ilitengeneza bidhaa hii ikiwa nyepesi, isiyoacha mabaki meupe na kupimwa na wataalamu wa ngozi, mahsusi kwa ngozi ya Mwafrika.