Kampuni ya Safaricom yaadhimisha miaka 24 utoaji huduma

  • | Citizen TV
    48 views

    kampuni ya safaricom inaendelea na msafara wa sambaza furaha ikiadhimisha miaka 24 ya utoaji huduma nchini. wiki hii imekuwa zamu ya wakazi wa nairobi ambapo wateja wa safaricom na mashabiki wa vituo vya royal media services inayoshirikiana na safaricom kwenye msafara huo wakituzwa zawadi kemkem. gatete njoroge anatufahamisha mengi mubashara kuhusu msafara wa leo