- 94 viewsDuration: 2:18Kanisa katoliki limetoa wito kwa wanaume nchini kuongoza kwenye maombi maalum na kukuza amani kufuatia kuongezeka kwa shughuli za kisiasa nchini. Wito huo umetolewa huku wanaume ambao ni wanachama wa chama cha kanisa katoliki kutoka parokia mbali mbali katika kaunti za Kiambu na Nairobi wakifanya hija katika eneo takatifu la Subukia , kaunti ya Nakuru. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive