Kanisa la AIPCEA latoa wito kwa wananchi kumpa rais Ruto muda

  • | Citizen TV
    782 views

    Kanisa La Aipcea ,Limetoa Wito Kwa Wananchi Kumpa Rais Wiliam Ruto Muda Wa Kupanga Mikakati Ya Kurudisha Amani Nchini Kupitia Mazungumzo.Viongozi Wa Kanisa Hilo Wamewataka Viongozi Wa Serikali, Makanisa, Polisi Na Wananchi Kwa Jumla Kushirikiana Ili Kuhakikisha Nchi Inasonga Mbele.