Kanisa la ELCK lakumbwa na mzozo wa uongozi

  • | Citizen TV
    137 views

    Mianya zaidi inaendelea kuchipuza kwenye usimamizi wa kanisa la Kilutheri jimbo la Nyamira, wiki moja tu baada ya makundi mawili hasimu kufanya uapisho wa maaskofu wawili kuongoza kanisa hilo katika kaunti ya Nyamira