Kanja na Amin wawaondolea polisi lawama ya mauaji ya Mlolongo

  • | KBC Video
    104 views

    Inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja na mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa jinai Mohamed Amin leo waliitikia wito wa kufika mahakamani ambapo waliiambia mahakama kuwa watu watatu waliotoweka katika eneo la Mlolongo hawakuwa wakizuiliwa na polisi. Jaji Chacha Mwita alifahamishwa kuwa ripoti za watu hao kupotea zilinakiliwa rasmi katika kituo cha polisi cha Athi River na polisi wanachunguza kisa hicho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive