Kapu La Biashara: Taarifa za ghulio

  • | KBC Video
    14 views

    Serikali imefutilia mipango ya awali ya kubinafsisha shirika la mabomba humu nchini, Kenya Pipeline. Waziri wa kawi Opiyo Wandayi anasema shirika hilo bado linanakili faida na lina umuhimu mkubwa kwa taifa hili huku mipango ikiendelea ya kuimarisha huduma zake. Zifuatazo ni taarifa za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive