Karo ya vyuo vikuu | Waziri Machogu asema haitaongezwa

  • | KBC Video
    30 views

    Waziri wa elimu Ezekiel Machogu ameondolea mbali dhana ya kuongeza karo ya vyuo vikuu na kubinafsisha vyuo vikuu vya umma. Machogu amesema dhana hiyo haijahusishwa na afisa yeyote wa serikali ya rais William Ruto na hivyo inapasa kupuuzwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #vyuovikuu #News #ezekielmachogu