Katibu wa usalama awashauri vijana wakatae siasa mbaya

  • | Citizen TV
    136 views

    Katibu katika wizara ya usalama daktari Raymond Omollo alihudhuria kikao cha mamia ya vijana kutoka maeneo ya ziwa victoria jijini Kisumu alikoelezea mipango ya serikali ya miradi ya maendeleo