Vijana walalamika uchaguzi wa baraza lao umecheleweshwa

  • | Citizen TV
    297 views

    Vijana katika kaunti ya Busia wamelalamikia kucheleweshwa kwa uchaguzi wa viongozi wapya katika baraza la vijana nchini NYC wakidai kuwa watu wenye umri wa juu wanateuliwa kusimamia idara mbalimbali zinazoangazia maswala ya vijana