Kauli ya askofu mkuu wa kanisa katoliki dayosisi ya Nyeri kuhusu uwajibikaji wa serikali

  • | Citizen TV
    349 views

    Askofu Mkuu wa kanisa katoliki Dayosisi ya Nyeri, Anthony Muheria, amelaumu serikali kwa kutojali hali ngumu wanayopitia Wakenya. Akizungumza mjini Nyeri, Askofu Muheria ameikosoa serikali kwa kuunda sera bila kuzingatia jinsi zitakavyowaathiri wachochole.