Kaunti I Mwanamke eneo bunge la Ruiru atafuta haki kufuatia jaribio la kubakwa na mhudumu wa afya

  • | KBC Video
    16 views

    Mwanamke mmoja katika eneo bunge la Ruiru, kaunti ya Kiambu anatafuta haki kufuatia madai ya jaribio la kubakwa na mhudumu wa afya katika hospitali ya kibinafsi. Mwanamke huyo amedai kwamba mtaalam wa mitambo ya X-ray kwenye hospitali hiyo alijaribu kumnyanyasa kimapenzi alipokwenda hospitalini humo kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu mnamo tarehe 16 mwezi huu. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa taarifa za magatuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive