Kaunti ya Bungoma yabomoa jengo kando ya uga

  • | Citizen TV
    1,201 views

    wanagamati. Jumba hilo lililoko eneo la kanduyi kaunti ya Bungoma, lilikuwa limesazwa baada ya familia hiyo kwenda mahakamani kuzuia ubomoaji wake. Wakaazi wa eneo hilo wamepongeza hatua hiyo wakisema itatoa fursa nzuri Kwa upanuzi wa uwanja wa Masinde muliro ambao umeratibiwa kuandaa sherehe za sikukuu ya madaraka mwezi juni wakitaka jumba lililosalia pia kubomolewa haraka ili kuzuia maafa Kwa binadamu.