Kaunti ya Busia yafanya mkataba na shirika la ughaibuni

  • | Citizen TV
    134 views

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji katika kaunti ya Busia unatarajiwa kuimarika zaidi baada ya serikali ya kaunti hiyo kutia sahihi mkataba wa maelewano na shirika la kimataifa la VSF Suisse ili kukabiliana upungufu wa kuku hao wanaohitajika kwa wingi