12 Nov 2025 10:39 am | Citizen TV 143 views Duration: 1:38 Wakaazi wa maeneo ya Mtito Andei kaunti ya Makueni ambao wamekuwa wakisumbuliwa na wanyamapori kwa miongo kadhaa sasa wamenufaika na huduma bora za afya kutokana na ukarabati wa zahanati mbili za eneo hilo.