12 Nov 2025 10:26 am | Citizen TV 95 views Duration: 2:04 Kaunti ya Migori inatazamiwa kuandaa Tamasha ya Utamaduni ya jamii ya Waluo awamu ya 5 kuanzia tarehe 14 hadi 16 Desemba mwaka huu.