Kaunti yazindua maktaba ya teknolojia ya kompyuta eneo la Wiyumiririe, Laikipia

  • | Citizen TV
    87 views

    Serikali ya kaunti ya Laikipia imezindua maktaba mpya ya maswala ya teknolojia ya kompyuta katika eneo laikipia mashariki. Maktaba hii ina kompyuta 20 na itawafaidi zaidi ya vijana 200 kutoka eneo hili ambao bado hawajapata nafasi ya kwenda mijini kusoma elimu hii. Maktaba hii iliyoko wiyumiririe, iliyojengwa kwa ushirikiano na kampuni ya Safaricom inalenga kuwapa vijana mashinani nasafi sawa za kupata elimu ya teknolojia ya kisasa kama wenzao walioko mijini.