Kazi ni Kazi I Kazi ya kusanifu vyakula

  • | KBC Video
    16 views

    Sio wote hufanikiwa kuajiriwa baada ya kuhitimu kwenye chuo Kikuu. Hata hivyo, idadi ya wanaokumbatia maarifa ili kutafuta riziki inaendelea kuongezeka kila uchao. Kwenye makala ya Juma hili ya kazi ni kazi, Fredrick Muoki alitangamana na kijana wa makamo aliyepokea maarifa ya kusanifu vyakula na vinywaji na sasa ni shughuli inayomsaidia kukimu mahitaji yake. Tazama

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive