Kazi Ni Kazi: Msanifu mijengo anayetumia teknolojia katika ujenzi

  • | KBC Video
    381 views

    Ajira kwenye mijengo ni mojawapo ya kazi ambazo huwavutia watu wachache mno kwa sababu mbalimbali ikiwemo ukweli kwamba wengi huichukulia kuwa kazi ya sulubu. Hata hivyo, kuna baadhi ya kazi kwenye sekta ya ujenzi ambazo hazihitaji nguvu nyingi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive