KeNHA yafungua tena barabara ya 'Southern Bypass'

  • | KBC Video
    282 views

    Halmashauri ya kitaifa ya barabara kuu nchin, KeNHA, imefungua tena rasmi sehemu ya barabara ya kando ya kusini mwa jiji la Nairobi iliyokuwa imefungwa tangu tarehe 24 mwezi uliopita kwa ukarabati.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive