Kenya imejiunga na mataifa mengine kwa sherehe za siku ya wanyama pori

  • | Citizen TV
    487 views

    Kenya leo imejiunga na mataifa mengine duniani kusherehekea siku ya huduma kwa wanyamapori ambapo wito wa pamoja wa kulinda wanyamapori ulitolewa. Waziri wa utalii na wanyama pori rebecca miano ameongoza sherehe za kitaifa katika ziwa bogoria, kaunti ya Baringo.